Ukiona kitu kinatunzwa na kuheshimika sana mwishoni kitaabudiwa ndivyo ilivyo kwa hii michoro ya miamba ya ilioko kijijini Kolo KONDOA, watu wanafanya ibada za mizimu katika ili eneo kwamaana inasemekana kuna mzimu wa nyoka mkubwa sana, ambaye anaishi ndani ya pango. Ilibidi leo nikafanye huduma ya damu ya YESU hapo ili kuondoa hizo ibada